Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Wote tunateseka lkn, ila nyie zaidi maana pesa inawatoka home na kwa michepuko pia, bado January yenye siku 100 inakuja inabidi ujiandae mwezi huu[emoji23]
Kuna January yenye siku 100 na nyingine Ina siku 12. Pale ambapo unamwahidi mkuu wa shule kuwa ada ya mtoto itamaliziwa mwisho wa mwezi, mwezi huwa unaisha haraka
 
Wooow!!! Naona umeandika mapema asubuhi baada ya kukosa warmth usiku! Ningekuja inbox kwako sema naogopa kuongopewa!!
 
Nyie epukeni matapeli, December hakunaga mapenzi ya kweli. Msijekusema sijawaambia.

Ni Mimi mtunza hazina UWABATA
 
hili bandiko ungelileta mwezi uliopita mambo yangekuwa bambam, sasa hii mvua natuliaje baada ya wiki kina mankha wanakuja huku mlimani na nguo zao zenye sponji kwenye makalio natuliaje huo mtihani naushindaje.

mimi nitakutafuta mwezi wa pili sitaki kuwa muongo kwenye mahusiano mapya.

weka hata picha moja uliyopiga ukiwa umetoka kulala nishauriane na Dadii ninayokunywa sasa hivi kufanya maamuzi magumu.
 
Babangu hayuko na 45 mkuu
Haijalishi, lakini Mzee mwenye miaka 45 technically anaweza kukuzaa wewe. Unless uwe umedanganya umri wako.
Unaposema vijana ni hit & run Hilo lipo kila sehemu hata kwa wazee. Kuna wazee wengi tu hawapati haki za ndoa nyumbani sababu wake zao wamezeeka na wamekuwa wasumbufu. Nao wapo mawindoni wanatafuta pa kumpunguzia semen. Na hawataki kuvunja ndoa zao. Be careful

Na ndio maana baadhi ya wachangiaji wamekutahadharisha kuwa wewe ndio una tatizo, you need to do something on yourself for yourself by yourself. Ndipo mwanaume yeyote ataona value ndani yako, na atakupenda.
Kumbuka: mwanaume ana machaguzi hata 200 ya mwanamke amtakaye, je mwenendo wako, tabia zako, Vaa yako, ongea yako zinaweza kuku support mbele ya mtu anayetafuta mke?
Je nikitia timu yangu ya upelelezi mtaani kwako, jamii inayokuzunguka inasemaje kuhusu wewe?
 
Reactions: Lee
Nimepanga chumba sebure na choo ndani na nina bodaboda mbili huku mimi nikiendesha bajaj...Kwa context uliyosema ya kujiweza kiuchumi,nafit?
 
Ilete mkuu ikupe taarifa
 
Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…