Nahitaji mtu mzima nitulie nae

You are too much. 25yrs unataka kuolewa na 60yrs.Yaani ahanagaike kukusanya pension halafu wewe uje ule tu.Piga kazi mrembo
 
Baba wa mtoto umemshirikisha, ama?
 
Kwani mtoto wako peke yako ama anabaki kwa babake? Kama mtoto ni wako na babake lazima babake ajue mtoto wake atakuwa wapi na anahudumiwa na nani. Siyo aanze tena kuleta kurupushani kwa sugar daddy. Mashuga dadi hatutaki vurugu. Kama baba yake yuko hai mshirikishe ili ajue move yako hii.

Naona kaburi lako la zamani limefukuliwa hapo juu tayari. Lile la 2016 ambapo ulikuwa umekwishachezea fimbo za kutosha huku ukiendelea kuhesabu... Sasa unawalaumu vijana!! Kweli hiyo binti?
Nimshirikishe kuhusu nn
 
Wewe kuwa mtu mzima ili usimsumbue babu wa watu bureee ukianza kuwashwa washwa na mdudu nyege. Ni muhimu kusameheana na huyo kijana maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…