BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko.
Vijana wanalalamikia kukosa ajira, wenye ujuzi, neema hii hapa, neema imewajia, kipawa chako ndio utajiri wako.
Aliyetayari aje inbox tuyajenge
Vijana wanalalamikia kukosa ajira, wenye ujuzi, neema hii hapa, neema imewajia, kipawa chako ndio utajiri wako.
Aliyetayari aje inbox tuyajenge