babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 15
- 10
Babu utalizwa na hao watuHabari wakuu.
Nahitaji mtu wa kunifunza lugha ya machame ada na utaratibu mzima tutaelezana private.
Nashukuru.
Usimstue kaka msubiri ataleta mrejesho humu humuBabu utalizwa na hao watu
Mzee wa makamo heshima yako.Hii ndoa tunayo mpaka unataka kujua na lugha hhhhh
Haaaaaaah hapana mkuu jf ndo suluhishoUsimstue kaka msubiri ataleta mrejesho humu humu
Kuna mshangazi wa kimachame ni mzuri na una makebo ila sasa una roho ya kuunguza na pasiUsimstue kaka msubiri ataleta mrejesho humu humu
hii ni AI hakuna kimachame cha hivi mbe!Safi mkuu π Tujifunze Kimachame kidogo kidogo
Nimekupangia sentensi 5 za kila siku - ukizijua hizi, umeshahesabika kama umeanza kuongea:
### 1. Salamu za Kawaida
Undu swi? = Hujambo? / Upoje?
Ndiru isheri = Nzuri sana / Niko salama
Ngema muno = Asante sana
### 2. Kujitambulisha
Irikwa Juma = Naitwa Juma
Mie ndu Machame = Mimi ni wa Machame
Ulya ka? = Unatoka wapi?
### 3. Maneno ya Heshima
Tata / Nyaa = Baba / Mama
Shikamoo, Tata = Shikamoo, Baba
Marahaba, mwanangu = Marahaba, mwanangu
### 4. Kuomba kitu
Mpa maha = Nipe maji
Nguena kyaakulya = Nataka chakula
Sikuelewa = Simanyire
Mchezo mdogo: Jaribu kusema "Asante sana mkuu" kwa Kimachame. Jibu ni "Ngema muno, mkuu wangu"
Hakuna kimachame hapo, hicho labda ki kinga, au kingoreme,Safi mkuu π Tujifunze Kimachame kidogo kidogo
Nimekupangia sentensi 5 za kila siku - ukizijua hizi, umeshahesabika kama umeanza kuongea:
### 1. Salamu za Kawaida
Undu swi? = Hujambo? / Upoje?
Ndiru isheri = Nzuri sana / Niko salama
Ngema muno = Asante sana
### 2. Kujitambulisha
Irikwa Juma = Naitwa Juma
Mie ndu Machame = Mimi ni wa Machame
Ulya ka? = Unatoka wapi?
### 3. Maneno ya Heshima
Tata / Nyaa = Baba / Mama
Shikamoo, Tata = Shikamoo, Baba
Marahaba, mwanangu = Marahaba, mwanangu
### 4. Kuomba kitu
Mpa maha = Nipe maji
Nguena kyaakulya = Nataka chakula
Sikuelewa = Simanyire
Mchezo mdogo: Jaribu kusema "Asante sana mkuu" kwa Kimachame. Jibu ni "Ngema muno, mkuu wangu"
Utajiri unatafutwa sana pengine tukiwa wachaga kuna pengo tunaweza pata katika utakatifu wenu wa fedha na uchumiWetu wengi wanatamani kuwa wachagga, hii ni kwa mujibu wa tafiti yangu. π
Ai haina shida.. mkuu hiyo ni AI NDIO..hii ni AI hakuna kimachame cha hivi mbe!
Kichina nacho ni kikabila tu mkuu ni vile mindset yako inakupelekaDah, watu wapo bize kujifunza kichina na lugha za kimataifa kumbe kuna wenzetu wapo bize na ukabila pia? Good to know, anyway in 25yrs hakutakua na makabila duniani yani...
Kichina nacho ni kikabila tu mkuu ni vile mindset yako inakupeleka