Nahitaji Mtu wa kunifundisha Kimachame

mwambie AI aache upotoshaji
 
Nimepita December, niliona ile road ya Bwani na Kalali imeunganishwa kwa lami
Ndio. Hiyo imeunganishwa muda mrefu , sasa hivi unaweza kwenda boma au arusha kupitia kalali, uswaa ukapita masama ukatokea kwa sadala... siyo lazima upite njiapanda ya barabara ya machame
 
Ukiachwa utazungumza na nani hicho kilugha?
 
Ndio. Hiyo imeunganishwa muda mrefu , sasa hivi unaweza kwenda boma au arusha kupitia kalali, uswaa ukapita masama ukatokea kwa sadala... siyo lazima upite njiapanda ya barabara ya machame
Wee ila ya Uswaa imepigwa lami?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…