Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
...elfu 50,000/= kwa kila tshirt unazo nikupe kijana wangu hapo dar..?
kwa hyo bei hizo tisheti zinajifua zenyewe au?
...we unazani vijana wangu wamekuja mjini kucheza, kutwa nzima vijana waumize kichwa kwa vitsheti vitatu,kwa maslahi gani ...
bora umemwambia anafikiri kuprint bei gani au anachezea akili za watu huyo
nitumie artwork yako nikuprintie fasta ndani ya masaa mawili tu.
Thanks ninja,hebu pitia hayo maelezo hapo juu then nipe sample na bei tufanye biashara