Cheeranking vevo
New Member
- Aug 15, 2020
- 4
- 5
Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kwenye maswala ya kufanya issue ya photoshoot na video production. Mimi naweza zaidi photoshoot.
Nina camera nahitaji yeye aweze changia kwenye lens na speedlight ili tuweze kufanya kazi hii pamoja na kugawana kitakachopatikana.
Maana tasnia hii ina hela isiyokatika na huwezi kosa wateja na haiwezi pita siku mbili wala tatu hujapata wateja. Faida ipo na haina msimu.