Nahitaji mtu wa kuungana naye tuwekeze ktk kiwanda cha sembe

Nahitaji mtu wa kuungana naye tuwekeze ktk kiwanda cha sembe

isayaj

Senior Member
Joined
May 10, 2022
Posts
153
Reaction score
146
Nahitaji mtu wa kuungana naye tuwekeze ktk kiwanda cha sembe nina mashine na jengo lipo kubwa store za kutosha shida mtaji wa kununua malighafi (mahindi), nembo ya kiwanda ,usajili , masoko,n.k
IMG_20230227_085529_8.jpg
 
Wazo zuri...90%

ila humu kuna wavuja jasho matajiri na wala papuchi stress kimasikhara......hawatokusaidia

mtafute afisa maendeleo kwenye halmashauri uliyopo umpatie wazo hilo
 
Ok huko mbali ndugu yangu

Ila wee jamaa bwana, unanipa hamasa sana katika utafutahi kila nikisoma andiko lako pahala.

Kila opportunity unatamani utie mguu, kama jiko la kuni vile huchagui mtu aisee. Huwa najifunza vingi sana kupitia kwako bro...!

Juwa tu kuwa unanihamasisha kupita maelezo natamani sana kuwa kama wewe, sijui oil chafu, maplastiki, matairi ya gari yaliyotumika, Pwani platform natumai pia upo mule shared, haya kuna hili wazo la kufungua Mall na kuanzisha brand mpya umo, nimeona tena umetengeneza magari ya mbao ya kuchezea watoto, hivyo ni vile nivijuavyo tu natumai una vingine vingine tu ambavyo unakimbizana navyo.

Natamani sana nipate muongozo kutoka kwako I hope nitafika somewhere kupitia maono yako mkuu.

Safi sana Mshana...!

✊🏾👊🏾
 
[emoji1478][emoji1477]
Hahahah karibu sana najaribu kuwatoa vijana kupoteza muda na mambo yasiyo na faida na kuibua fursa mpya zinazopatikana nje ya mfumo wa ajira rasmi

Kwa mfano huyo mwenye kiwanda cha unga tayari keshapiga hatua kubwa sana.. Sembe inalipa sana
 
Safi sana kiongozi mi navutiwa sana jinsi unavyopambana, najua utakuwa na mtaji wa kuzungushia coz bila ya hivyo ni ngumu, lakini kuna wengine wapo na hela lakini inaishia kutoka tu na mtu hata hajui aizungushe vipi.

Inatia sana moyo mkuu...!
 
Nahita mtu wa kuungana naye tuweke kiwanda cha sembe nina mashine teal na jengo lipo kubwa store za kutosha shida mtaji wa kununua malighafi (mahindi), nembo ya kiwanda ,usajili , masoko,n.k View attachment 2531363
Package waone sanku fortification watakupa kwa makubaliano na fortification. Nendo rahisi utatengenezewa kwa bei chee halafu utawatumia wao waibandike kwenye package yao. Yani utatengenezewa packages nyng wewe utakuwa unalipia kidogo kidogo unachukua na wanakupa virutubushi bure na wanaweza kukupa hata mashine ya dosfier bure
 
Back
Top Bottom