Hello members habari!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba (mzee mwenzangu) wa kumaliza nae uzee, umri kuanzia 45 -58, awe divorced au Amefiwa na mke(only that), awe na kazi ya kudumu na kipato cha kumudu maisha (Marioo strictly prohibited). Watoto hata wakiwa kumi tutalea baba kikubwa upendo.
Akiwa mkazi wa moshi itakua nzuri au Dar plus Dodoma. Karibu tufurahie maisha ya uzeeni baby dady.
NB: Tanzania ni Nchi huru mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.