Safi vipi mie ambaye hiv+ naruhusiwa kuja pm?Hello members habari!!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba(mzee mwenzangu)wa kumaliza nae uzee,umri kuanzia 45 -58,awe divorced au Amefiwa na mke(only that),awe na kazi ya kudumu na kipato cha kumudu maisha(Marioo strictly prohibited). Watoto hata wakiwa kumi tutalea baba kikubwa upendo.
Akiwa mkazi wa moshi itakua nzuri au Dar plus Dodoma.Karibu tufurahie maisha ya uzeeni baby dady.
NB: Tanzania ni Nchi huru mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
Mimi mke wangu anaumwa, vipi nifanye booking? Vitu vingine vyote nafitHello members habari!!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba(mzee mwenzangu)wa kumaliza nae uzee,umri kuanzia 45 -58,awe divorced au Amefiwa na mke(only that),awe na kazi ya kudumu na kipato cha kumudu maisha(Marioo strictly prohibited). Watoto hata wakiwa kumi tutalea baba kikubwa upendo.
Akiwa mkazi wa moshi itakua nzuri au Dar plus Dodoma.Karibu tufurahie maisha ya uzeeni baby dady.
NB: Tanzania ni Nchi huru mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
haujawahi kuwa afisa kipenyo kweli?😅😅.....NB: Tanzania ni Nchi huru mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
Zeeka mwenyeweHello members habari!!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba(mzee mwenzangu)wa kumaliza nae uzee,umri kuanzia 45 -58,awe divorced au Amefiwa na mke(only that),awe na kazi ya kudumu na kipato cha kumudu maisha(Marioo strictly prohibited). Watoto hata wakiwa kumi tutalea baba kikubwa upendo.
Akiwa mkazi wa moshi itakua nzuri au Dar plus Dodoma.Karibu tufurahie maisha ya uzeeni baby dady.
NB: Tanzania ni Nchi huru mawazo ya kila mtu yaheshimiwe.
Huyo ndo kwanza balehe ya kwanza inampeleka resi.Hizo sifa ulizotaja hapo ngoja nikuitie mzee mwenzio ndugu yangu mtu wa maana kabisa Lucas Mwashambwa
Afike na vyeti vyake vya hospital au sio muhimu!Hello members habari!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba (mzee mwenzangu) wa kumaliza nae uzee, umri kuanzia 45 -58, awe divorced au Amefiwa na mke(only that), awe na kazi ya kudumu na kipato cha kumudu maisha (Marioo strictly prohibited). Watoto hata wakiwa kumi tutalea baba kikubwa upendo.
Akiwa mkazi wa moshi itakua nzuri au Dar plus Dodoma. Karibu tufurahie maisha ya uzeeni baby dady.