fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Sep 9, 2021 #181 Musundi said: Waume serious hawapatikani jf dadangu. Utaishia kuumizwa tu! Click to expand... kwani hawa wa JF si ndio haohao wa huko mitaani
Musundi said: Waume serious hawapatikani jf dadangu. Utaishia kuumizwa tu! Click to expand... kwani hawa wa JF si ndio haohao wa huko mitaani
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,731 Sep 9, 2021 #182 jadit said: Hayaaa umeshinda mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] amani ya bwana izidi kuwa nawe. Click to expand... Amina mtumishi wa hekalu la bwana.
jadit said: Hayaaa umeshinda mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] amani ya bwana izidi kuwa nawe. Click to expand... Amina mtumishi wa hekalu la bwana.
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Sep 9, 2021 #183 jadit said: Ningekujibu lakini Mungu akusamehe bure yawezekana haujuwi ulitendalo. Click to expand... Weka angalau picha basi, unajua haya mambo yanayoendana na Rangi usukumani Yana determine idado ya Ng'ombe.
jadit said: Ningekujibu lakini Mungu akusamehe bure yawezekana haujuwi ulitendalo. Click to expand... Weka angalau picha basi, unajua haya mambo yanayoendana na Rangi usukumani Yana determine idado ya Ng'ombe.
Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,186 Reaction score 1,966 Sep 9, 2021 #184 Tatizo wadada wa huku hawana viwango kabisa
Bukondamoyo JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 458 Reaction score 490 Sep 9, 2021 #185 Sidhan kama kuna mwanaume akataka familia halafu akawa hayuko serious