Nahitaji mume awe anaishi Mbeya


you remind me one thing
 
Tafuta ajira kwnza mume atakuja mwenyewe...wenzio sikuhiz wanataka wasaidizi hta kiuchumi, mbona hujaweka elimu yako hapo?
 
Elimu yako tafaadhali.. Jobless?? Halafu uko mbeya, huna kazi mbeya lakini unataka lazima mume awe anaishi Mbeya? Sasa umepapendea nini hapo Mbeya wakati una miaka 25 na kazi huna??!! Black beuty..😁😁😁haya asante black,, Kiufupi mimi nimekuelewa sana.
 
Wasiliana ma mh. Sugu maana kufuatana taarifa zilizopo yupo mbio kuoa uwe tayari tu kumlea shasha
 
Kama jobless alafu bado unahitaji mume awe anaishi Mbeya kwa tafsiri ya haraka haraka huna changamoto ya maisha maana unajua maisha ni Mbeya tu, mie nipo Ubena nahitaji jobless na awe black beauty kama utakuwa tayari kuja huku
 
Mume anatafutwa mtandaoni? Omba Mungu akuongoze upate mume, wenzako wameshajuta wamekutana na mazombi mtandaoni
 
Iam 25 yearsr, black beuty, jobless! Nahitaji mume anaeishi Mbeya mimi nipo Mbeya
pia kwa taarifa zaidi ni pm.

Nawasilisha

Ndaga fijo!

Kumbuka ukifikisha 30yrs hutaolewa, fulsa ikipatikana kimbia kabisa, ukichelewa mwisho utaolewa mke wa pili.
 
kifaa nilishachukua hiki but kimeniponyoka tena! baada ya kumpa h9storia ya mahusiano yangu!
 
oooohhh pole mbona mim nipo tayari nipo coca cola kwanza mbeya nchek whatsapp 0719993139
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…