mrembomzuri
Member
- Mar 23, 2025
- 5
- 39
Mi naitwa nurdin nina vigezo vyote mama....🥰Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp.......
==>> 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 42-75 USINITAFUTE.
Mtego au sio
Siyo kuanzia miaka 40 tena ? Hiyo 42 vipi?Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp.......
==>> 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 42-75 USINITAFUTE.
NakaziaUngekuja na ID Yako halisi