Nahitaji mume Muislam aliye-serious na ndoa

Waalykm salaam... Inshaallah kwa uwezo wa Allah utapata hitaji la moyo wako.... Ila sidhani kama humu wapo walio serious na hata wakitokea usije ukajenga ukaribu mkionana aje kwenu apeleke posa na siyo ujanja ujanja.... Allah akupe yule mwenye kheri nawe inshaallah
 
Sifa ninazo, kama kweli upo serious tupia picha pm nikuthaminishe na hitaji langu
 
Nimeona huu ujumbe wako ila nataka kujua unapatikana wap na tutawasiliana vp mm nataka tuongee
 
Hutaki kuolewa mke wa pili?
 
Jamani musiwe mnaandika na kupost kejeli, mtu anatafuta Mwenza wa maisha nyinyi mnamkejeli hiyo sio fair kabisa
 
Nina sifa zote Wallah isipokuwa [emoji39][emoji39]
 
Walyekum musalaam!!qhaifa khal.....vipi ulsha mpata mwenzi?
 
Njoo tuyajenge silias.
 
Shaka ondoa utapata mume na ukifanya vizuri utaongezewa mwingine.
 
Naona vijana wamepanic hapo kwenye maisha standard hahahaha tutafute hela jamani hata wewe dada yako hutopenda aolewe na mganga njaa.
 
miaka 50 halafu awe hajaoa upo serious kweli. mkishafikaga 30+ mnaweka maringo yenu pembeni mnaanza usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…