nderiananarua
Member
- Apr 8, 2018
- 26
- 24
Usije weka tangazo kabla hujanicheki in haKila la kheri
Mpaka sasa bado sijajua kwann watu humu kwenye kutafuta wenza wanaweka kipengele cha elimu ya MTU.SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu
SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Miaka ya wadada wa aina hii ni wasumbufu sana tena bora ungesema mchagaa wa wapi ila kuishia mchaga mhhh kazi ipo pia hujasema elimu yako ila unahitaji mwenye degree, kingine hujasema unafanya nini ila unayemtaka unataka alijiajiri au ameajiriwa, , Pia unahitaji mwenye upendo , Mkweli na mwaminifu wewe hujajieleza kama hivyo unavyo.. Kikubwa tengeneza tangazo lako upyaSIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu
SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Ukitaka kuolewa niambie nikuoe.Mpaka sasa bado sijajua kwann watu humu kwenye kutafuta wenza wanaweka kipengele cha elimu ya MTU.
Kila la kheri
[emoji3] [emoji3]Usije weka tangazo kabla hujanicheki in ha