choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu
SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Unaishi dar au moshiHapana mi sio mwanamke njaa
Mi nmeweka kwa sababu nahitaji mume aliyenizid elimu.... Ni moja ya vitu ninavyovipenda.... Msomi
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu
SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Niliandika kabila kwa sababu ya watu wenye iman kama yako
Nyanda za juu kusiniUnaishi dar au moshi
Mbona ndio wanaoongoza kwa kuolewa hapa mjini?
Utasubiri sana hadi titi lilale kama ndalaMi nmeweka kwa sababu nahitaji mume aliyenizid elimu.... Ni moja ya vitu ninavyovipenda.... Msomi
Wangekuwa nazo usingekuja kutangaza humu olewa na walimu wenzakoWw kama huna hzo sifa wenzako wanazo
Mh so tunatuma maombi kwa njia ya postaNdio maana nikaweka kigezo cha elimu sidhan kama mtu msomi anaweza kujadili kuhusu kabila la mtu maana .... Pia sio lazma ukoment kama unaona ujaridhia
njoo pm mama tupo wazee wenzakolah mi nitapata mzee mwenzagu humu nina 40yrs jinsia ke