Nahitaji mume

Nahitaji mume

Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi sijui jinsi kuingia pm baomba njoo pm
 
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta rafiki then msomane mbele ya safari. Sasa wewe unatafutaje mume na watu hawakujui?
Unarukage stage?
1. Kufahamiana/urafiki
2. Mchumba
3. Mume

Jichanganye humu utapata marafiki kibao. Usiforce
 
Anaweza pia kupata mume kimasihara, kwani wewe hujawahi kutafunwa kimasihara full kuruka stage?
 
Back
Top Bottom