achiiachii
Member
- Sep 11, 2022
- 50
- 196
bila kuona sura ni uongooooooNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi sijui jinsi kuingia pm baomba njoo pmNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta rafiki then msomane mbele ya safari. Sasa wewe unatafutaje mume na watu hawakujui?Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza pia kupata mume kimasihara, kwani wewe hujawahi kutafunwa kimasihara full kuruka stage?Tafuta rafiki then msomane mbele ya safari. Sasa wewe unatafutaje mume na watu hawakujui?
Unarukage stage?
1. Kufahamiana/urafiki
2. Mchumba
3. Mume
Jichanganye humu utapata marafiki kibao. Usiforce
Haya. Na hizi ndoa za siku hizi kila mtu analia yeye anataka wa kuokota.Anaweza pia kupata mume kimasihara, kwani wewe hujawahi kutafunwa kimasihara full kuruka stage?
Wa kuokota π€£π€£Haya. Na hizi ndoa za siku hizi kila mtu analia yeye anataka wa kuokota.
Humu hakuna waume dearNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wa kuokota.Wa kuokota π€£π€£
Mbona tunapakana matope tena jamani mremboKina mzabzab π