Nitajie uzito na urefu wake.
Apate maji ya kunywa ya kutosha kila siku, apate chumvi ya kutosha hasa ile ya mawe ya baharini ambayo haijapita kiwandani, atumie mboga majani na matunda vya kutosha kila siku, aepuke sana vyakula au vinywaji vyenye sumu ndani yake, asinywe soda ya aina yeyote, asinywe juisi ya dukani ya aina yeyote.
Apate pia juisi ya ubuyu halisi kikombe 1 kutwa mara tatu
Aongeze unga unga wa mlonge kijiko kimoja kwenye katika kila milo yake mitatu
Afanye mazoezi ya kutembeatembea kwa miguu kila siku akianzia na dakika 10 na aongeze dakika 5 kila siku
Kadri siku zinavyosogea afanye bidii aachane na kuendelea kutumia dawa za hospitalini kila siku