kasanga70 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 227 Reaction score 517 Dec 8, 2019 #1 Habari ndugu zangu! Ninahitaji Mwalimu mzoefu anaeweza kumtrain Mwalimu wa kawaida wa shule ya msingi kupitia crash program ya wiki tatu nimlipe kisha tuachane naye! Kama upo unajitambua na unajielewa tuwasiliane kwa wasap +255625602588 Ahsante
Habari ndugu zangu! Ninahitaji Mwalimu mzoefu anaeweza kumtrain Mwalimu wa kawaida wa shule ya msingi kupitia crash program ya wiki tatu nimlipe kisha tuachane naye! Kama upo unajitambua na unajielewa tuwasiliane kwa wasap +255625602588 Ahsante
codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 873 Dec 8, 2019 #2 Una bei gani kwanza?
HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,901 Reaction score 3,672 Dec 8, 2019 #3 Toa ofa yako kwanza
kasanga70 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 227 Reaction score 517 Dec 8, 2019 Thread starter #4 Nadhani nimeweka mawasiliano hapo kama unaiweza hiyo kazi useme unataka tsh ngapi siwezi kupata na wasiohitaji hapa
Nadhani nimeweka mawasiliano hapo kama unaiweza hiyo kazi useme unataka tsh ngapi siwezi kupata na wasiohitaji hapa
PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,104 Reaction score 1,924 Dec 9, 2019 #5 njoo inbox
PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,104 Reaction score 1,924 Dec 9, 2019 #6 njoo inbox