vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 895 Reaction score 571 Mar 12, 2013 #1 Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano 0774 205159. Nawasilisha.
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano 0774 205159. Nawasilisha.