Nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka shinyanga kuja ruvuma shule ya msingi

Nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka shinyanga kuja ruvuma shule ya msingi

Noncommited

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
1,125
Reaction score
369
Mimi mwalimu wa shule ya msingi manispaa ya songea natafuta mwalimu wa kukubadilishana nae kuja songea-ruvuma yeye awe anatokea mkoa wa shinyanga wilaya yeyote ile kwa mawasilano zaidi tuwasiliane kwa namba zifuatazo: 0757097303
ahsante
 
Back
Top Bottom