Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe.
Mimi Nina miaka 32
Mjasiriamali
Mkazi wa Dar es salaam.
Mkristo
Mnene kiasi,maji ya kunde +
Mwanamke ninayemhitaji awe kawaida tu mwenye rangi yake ya asili, ambaye anapenda mapenzi
Kabila lolote
Dini yoyote
Kazi yoyote
Umri 25-35 yrs!
Nitafurahi sana nikimpata na nitakuja kushukuru hapa kwakuwa nahitaji ambaye tutamaliza siku za maisha yetu yaliyobaki pamoja.
Nitumie ujumbe PM nitakujibu upesi nahitaji mmoja tu, karibu hutajutia.