Sihitaji Mambo Mengi Mimi Ila ninacho hitaji Ni Mwanamke ambaye atakuwa mke wangu.
Mpaka nafikia hatua ya kumtafuta huku it means that Niko Serious na ninauwezo wa kumuhudumia na kumtunza.
Sibagui,dini,Kabila,destuli Wala Mila wewe Kama Ni Muhitaji njoo fasta.
Mimi:-
Nina miaka 33
Naishi Dar Es Salaam
Ni mfanya biashara