Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu

Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu

Joined
May 20, 2020
Posts
33
Reaction score
26
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.

Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:

SIFA ZANGU:

UMRI: 34

ELIMU: CHUO(masters degree)

KAZI: NIMEJIAJILI.

NILIKO ZALIWA: TABORA

NINAKOISHI: DAR ES SALAAM

KABILA: BABA MNYAMWEZI MAMA MPARE.

MUONEKANO: NI MREFU JAPO SI SANA,SI MWEMBAMBA WALA MNENE SANA,MWILI WA MAZOEZI,SI MWEUPE WALA MWEUSI SANA.

SIFA ZA NIMTAKAE:

UMRI: KUANZIA 18 - 40

ELIMU: KUANZIA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA.

KAZI: AWE AMEAJILIWA AU AMEJIAJILI NA KAMA ATAKUWA MWANAJESHI WA JWTZ AU POLICE ITAPENDEZA ZAIDI.

SINA MAMBO MENGI NACHOHITAJI NI MKE AMBAYE NA YEYE ANAITAJI MUME.

NJOO PM HARAKA TUFAHAMIANE NA NITAKUPA NAMBA ZANGU ZA SIMU ILI TUANZE SAFARI YA MAPENZI YETU, ASANTE MUNGU AKUBARIKI.
 
Bora umesema kweli. Wanakuja we kaa mkao wa kupata chaguo lako
 
Mkuu ungesubiri kukuche kabisa kabisa

Au mzee baba yupo juu[emoji23][emoji23]
 
Mbweha wewe, una masters hata kuandika kiswahili tu hujui. Eti amejiajili au kuajiliwa

Nilitegemea msomi kama wewe, kabla ya kuandika ungechagua maneno fasaha utakayotumia na baada ya kuandika ungesoma na kurekebisha kabla ya kutuma.

Na mke utakayempata atafanana na kiswahili chako. Kila la heri kwenye kushindwa.
 
Kwa range hiyo ya 18 - 40 hapo umekusanya dagaa hadi nyangumi.

Wasubiri sasa hivi wanajaa huko pm mkuu.

Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
 
Mbweha wewe, una masters hata kuandika kiswahili tu hujui. Eti amejiajili au kuajiliwa

Nilitegemea msomi kama wewe, kabla ya kuandika ungechagua maneno fasaha utakayotumia na baada ya kuandika ungesoma na kurekebisha kabla ya kutuma.

Na mke utakayempata atafanana na kiswahili chako. Kila la heri kwenye kushindwa.
Sawa Mwalimu kiukweli Kiswahili kwangu ni shidaaa [emoji38][emoji38][emoji38]Ila Asante kwa kunisahihisha[emoji1666]
 
Hivi kwa nini ni ngumu mwanajeshi kuingia mahusiano na raia wa kawaida? Hawa wanawezana wenyewe.
duh, mwanajesh au polis kka?? utawaweza manjagu mzee
Labda nae mjeshi ila hajataka kusema?
 
Hivi kwa nini ni ngumu mwanajeshi kuingia mahusiano na raia wa kawaida? Hawa wanawezana wenyewe.

Labda nae mjeshi ila hajataka kusema?
Mmmmh nimesema Alie ajiriwa au kujiajiri Ila akiwa mwanajeshi(JWTZ)au police itapendeza so ni fulsa kwa yeyote tuu,mi mwenyewe ni raia wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom