FIRST OF BLOOD
Member
- Jul 30, 2017
- 8
- 9
Mimi ni kijana wa miaka 29.
Mwajiriwa.
Nahitaji mwanamke wa kuoa.
Dini yeyote.
Awe na umri kuanzia 20-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha 4 kuendelea.
Asiye na kazi ya kumuongezea kipato atapewa kipaumbele zaidi.
Mwenye kazi ya kumuingizia kipato atapewa chaguo la pili baada ya kukosekana asiye na kazi.
Awe anaishi mikoa ya tanga,dar na mbeya
Aliye na uhitaji anichek PM tuyajenge.