FIRST OF BLOOD
Member
- Jul 30, 2017
- 8
- 9
We mvurugajiHata Mimi naitaji mke
Mimi ni kijana wa miaka 27
Mkristo
Ni Dr nimeajiriwa katika taasisi binafsi
Naitaji mwenye umri wa 20-24 awe angalau awe amefika chuo ,mkristo, kwa yeyote basi ni DM tu 0757694702
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ee fursa hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akuuuu[emoji119]Dada ee fursa hiyo
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Kwa nini mkuu?LONALOVE mume huyu huku! Ila be care mkuu kuhusu huyo binti.
Nipo hahaHata Mimi naitaji mke
Mimi ni kijana wa miaka 27
Mkristo
Ni Dr nimeajiriwa katika taasisi binafsi
Naitaji mwenye umri wa 20-24 awe angalau awe amefika chuo ,mkristo, kwa yeyote basi ni DM tu 0757694702
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji9] [emoji3] [emoji3]Hata mimi nahitaji mwanamke
Awe mrefu
Mwembamba
Midomo na masikio kama Zari
Shepu kama Sepenga
Height jini Kabula
Asiwe mwajiriwa
Awe na mtoto tayari (sihitaji kuzaa)
Umri wowote - unaoruhusiwa na serikali
Awe alishawahi kuolewa akaachika
Njoo PM
acha kucheka, nakuona una hizo sifa, njoo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji9] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli huyoKwa nini mkuu?