Nahitaji Mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa mke wa pili

Nahitaji Mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa mke wa pili

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,309
Reaction score
1,270
Kutokana na hali jinsi inavyokwenda kweli wanawake wanahitaji stara, wanaume wenzangu tuongezeni speed ya kuwasitiri.

Binafsi nipo tayari kuongeza mke, natangaza nafasi kwa alietayari kuupokea uke wenza, awe na heshima amuheshimu atakaemkuta.

Vigezo; awe muislam age aanzie 27 hadi 37 hata akiwa mfanyakazi wa Taasisi au Kampuni, aliye tayari anifate Private.

Mimi si mrefu wala mfupi nipo kati na rangi si mweusi wala mweupe sana umbile la wastan sio mnene wa kawiada tu umri 40yrs
 
Ngoja waje wakuambie umeamua kujilipia bye the way kila la heri
 
Maandishi yako yananiumiza macho sijui kwanini
 
Sawa,nakuja nikufundishe na kuandika.
Sisi tunaojua kuandika, HATUNA PESA NA HATUOI.

Hawa mnaoona wanaandika vibaya, Hawa waloamua kuachana na shule, wakajikira Kwenye utafutaji wa Pesa, unakuta hapo Alipo ana Fuso zake Kadhaa, Nyumba Kadhaa .

Endeleen kutupenda sisi Wasomi, msomi anaishi Kwa ujanja ujanja, Anakula Kwa ujanja ujanja na kama utabishaz na PAPUCHI ATAILA KWA MKOPO.
 
KUTOKANA NA HALI JINSI INAVOENDA KWELI WANAWAKE WANAHITAJ STARA WANAUME WENZANGU TUONGEZENI SPEED YA KUWASTIRI BINAFSI NIPO TAYAR KUONGEZA MKE NATANGAZA NAFAS KWA AKIE TAYAR KUUPOKEA UKE WENZA AWE NA HESHIMA AJUHESHIMU ATAKAEMKUTA VIGEZO AWE MUISLAM AGE AANZIE 27 HADI 37 HATA AKIWA MFANYAKAZ WA TAASISI AU COMPANY ALIO TAYAR ANIFATE PRIVATE
Wanaohitaji stara ni mabikra pekee.

Kama sio bikra hakuna stara anayostahili kupewa, labda kumlindia heshima tu.
 
Wasichana ndo wengi ila kucha kutwa wanaume ndo wanalalamika kuhusu wingi wao,kila siku humu matukio yanaripotiwa watu wakipigwa na vitu vizito,wengine wanalalama wamekosa wanawake wa kuwaoa hizi shida zinatoka wapi ikiwa wako wengi hivo
Mtoa mada huna lolote unataka tu unafuu wa maisha umebanwa kotekote

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli wapo weng lakin wengi wao hawatak ndoa wanakwambia ndoa ni kubanwa tu wanataka.kua huru wafanye yao na wenyewe ya utafutaj wa rizk
 
Sisi tunaojua kuandika, HATUNA PESA NA HATUOI.

Hawa mnaoona wanaandika vibaya, Hawa waloamua kuachana na shule, wakajikira Kwenye utafutaji wa Pesa, unakuta hapo Alipo ana Fuso zake Kadhaa, Nyumba Kadhaa .

Endeleen kutupenda sisi Wasomi, msomi anaishi Kwa ujanja ujanja, Anakula Kwa ujanja ujanja na kama utabishaz na PAPUCHI ATAILA KWA MKOPO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe!!!.
 
Wanaohitaji stara ni mabikra pekee.

Kama sio bikra hakuna stara anayostahili kupewa, labda kumlindia heshima tu.
Hiyo hiyo heshima mkuu alie tayar aje private mkuu najua kupata bikra geniune aghlab saana labda za kutengeneza
 
Back
Top Bottom