Nahitaji Mwanamke awe nyumba ndogo

lukinga01

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
415
Reaction score
382
Kama nilivyojieleza hapo juu.

Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto. Nitapendelea zaidi awa muajiriwa wa serikali au awe mwenye elimu ya kati na awe na ndoto za kuwa mjasiriamali.
 


"UMFANYE" awe nyumba ndogo?!!😱
 
So sad..[emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…