Nahitaji Mwanamke ili awe Mke wangu

OTT

Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
74
Reaction score
152
Nahitaji mwanamke ili aje awe mke wangu
Dini yangu ni mkristo na nina kazi inayoniingizia kipato
Umri wangu ni miaka 35 na nina mtoto mmoja wa kiume
Situmii kilevi chochote, sio mtu wa starehe

Sifa za mwanamke-
Awe na tabia njema
Awe na fikra za kuwa mke na hivyo kuwa na familia
Awe muwazi hata kama ana mtoto
Dini yoyote ilimradi tumeamua kuwa wote
 
Good newz are coming soon......
 
Umepewa namba hapo juu umtafute unasema akutafute yeye huko telegram....haupo serious wewe umekuja kujaribu watoto wa watu.

Hapana mkuu nipo serious, ninaweza kumtafuta au yeye akanitafuta inagemea ni njia nzuri ipi kwa mtu kumfikia mwenzake
 
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…