Nahitaji Mwanamke nitakaye ishi naye hadi kifo kitutenganishe

Nahitaji Mwanamke nitakaye ishi naye hadi kifo kitutenganishe

OZILY

Senior Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
159
Reaction score
39
Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe.

Mimi Nina miaka 32
Mjasiriamali
Mkazi wa Dar es salaam.
Mkristo
Mnene kiasi,maji ya kunde +

Mwanamke ninayemhitaji awe kawaida tu mwenye rangi yake ya asili, ambaye anapenda mapenzi
Kabila lolote
Dini yoyote
Kazi yoyote

Umri 25-35 yrs!

Nitafurahi sana nikimpata na nitakuja kushukuru hapa kwakuwa nahitaji ambaye tutamaliza siku za maisha yetu yaliyobaki pamoja.

Nitumie ujumbe PM nitakujibu upesi nahitaji mmoja tu, karibu hutajutia.
 
Hahahaha kwa hyo wasichana wanawake huwataki mkuu....!
 
Back
Top Bottom