Nahitaji mwanamke wa kuishi naye

Nahitaji mwanamke wa kuishi naye

NDORANGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
216
Reaction score
376
Habarini Wana Jamiiforums,

Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye umri wa miaka ishirini ya mwanzo (early 20's), nahitaji mwanamke wa kuishi naye na Mwenyezi Mungu akijaalia kuishi kama mke na mume hapo baadaye.

- Binafsi nimejiajiri na kuwaajiri wengine, mrefu, maji ya kunde, naishi Dar -es-Salaam, ingawa nina makazi mengine mbali na Dar.

Nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo;
-Awe chotara (shombeshombe).
  • Kabila lolote sichagui.
  • Awe na umri Kuanzia miaka 18-33.
  • Awe msikivu na mcheshi.
  • Awe hajazalishwa na hata akiwa na mtoto (single maza), asinifiche aniweke wazi.

Aliyetayari ani-PM.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom