Wewe umeshapata maana nimeona ulikuwa unatafuta leoBora Mimi yangu ulishaikariri
BadoWewe umeshapata maana nimeona ulikuwa unatafuta leo
Duh!Bado
avatar Ni wewe mkuuHabari zenu wakuu? Natumai mko poa sana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwambia nimependa kuwashirikisha katika hili jambo la kutafuta mwanamke humu ndani ambaye atakuwa rafiki yangu sana wa karibu halafu mwisho wa siku awe mke wangu.
Nimefanya hivyo siyo kwa sababu sioni wanawake mataani bali napenda nimpate mwanamke kutoka MMU au JF.
Sifa za mwanamke ambaye ninamhitaji;
1. Awe anamjua Mungu.
2. Awe na kazi ya kumuingizia kipato.
3.Awe na umri wa miaka 20- 25
3.Mengine tutavumiliana.
I humbly submit.
Who said its a mandatory?It is not mandatory.. Ila mwenye hitaji na mwenye sifa nilizozijata pale juu ajitokeze nipo tayari.
Ooh, well I hadn't place any point...what I did is, asking you that how sure are u that these gals in here are ready to be married?What's your point?
Fresh kabisa mkuuHapo poa.
Kwema lakini?
Haya,we hutafut mwenzaSio mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukifuatwa na mtu mmoj pm nitag halafu andika "am fine" wakiwa wawili "am very fine" watatu "am deadly fine" wanne "wow am fine" watano "why am i this fine?" Sita "fvck am fine".
Wakikupiga chini andika "I thought am fine"
Habari zenu wakuu? Natumai mko poa sana.