ooooh asante ila sio kwamba mke anapatikana siku zote au?Ungesubiri kwanza sikukuu zipite
Kivip?Ungesubiri kwanza sikukuu zipite
Kila laheri...Habari za kutwa wapendwa?
Natafuta mke awe tayari kuishi pamoja mimi ni mkristo pia ni mjasiliamali sio lazima mwanamke awe na kazi KWANI NINA UWEZO WA KUKIDHI MAHITAJI YA FAMILIA.
umri wangu 25 kwangu naamini umri sio kikwazo kwa walio na umri zaidi ya hapo kwani ninacho hitaji ni heshima.
KIGEZO CHA MKE ANAE HITAJIKA:
awe anajitambua na kujithamini
Napatikana dar. Karibuni wote
asante mkuuKila laheri...