Lyambasa
Senior Member
- Sep 24, 2013
- 153
- 43
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa nimeona bora nimtumikie Mungu,Sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha Mungu na akubali kuja kutumika huku Shinyanga kama mama Mchungaji.Dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye PM yangu.