kweli duniani kuna majibu...una stress?
umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.kwa sasa nimeona bora nimtumikie mungu,sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha mungu na akubali kuja kutumika huku shinyanga kama mama mchungaji.dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye pm yangu.
sijui nikatumike? ngoja nifunge na kuombaUmri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa nimeona bora nimtumikie Mungu,Sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha Mungu na akubali kuja kutumika huku Shinyanga kama mama Mchungaji.Dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye PM yangu.
una macho wewe1
Upo sahihi but nani alikuambia kanisani ndio kuna wake wema?Mind you imani ndicho kitu cha kwanza kutambua ni mke wa namna gani unayemtaka,hata jf,fb,twitter unaweza kupata mke mwema.Ninachojua mke mwema anatoka kwa mungu halafu tena wewe ni mchungaji na ndiyo wapiga debe wakubwa wa hilo jambo sasa unavyokuja kutafuta huku unakuwa unakana kwamba mke anatoka jf,pili mungu akiamua kukupa mke huwezi kujichagulia eti wa dar watapewa kipaumbele ina maana huko shinyang kuna wanaume tu? na umeona wanawake wa dar ndo wazuri pekee au?
baba mchungaji ! kazi za mama mchungaji ni zipi? ili nione kama nitawezaNdoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya wawili yaani mke mume.Mapenzi ni hali ya kuonyesha thamani ya utu wa yule/kile ulichokichagua.Mhanga muathirika wa jambo fulani hasa kutokana na janga lililompata.Mkuu utakuwa umenielewa.
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa nimeona bora nimtumikie Mungu,Sifa:awe na umri kuanzia 28-32,elimu shahada,awe mcha Mungu na akubali kuja kutumika huku Shinyanga kama mama Mchungaji.Dar nitawapa kipaumbele. Aliye tayari anijuze kwenye PM yangu.