Nahitaji MWANAMKE WA KUOA.

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Ndugu wana JF,
Nahitaji mwanamke wa KUOA, awe na angalau sifa zifuatazo:-
Dini: Muslim mwenye kujitambua na kumjua Mola wake kwa vitendo.

Elimu: Aliyehitimu kidato cha nne na kuendelea.

Kazi: Mwalimu ni first priority na wengine wanakubalika pia, isipokuwa JESHI (Polisi, magereza n.k), Hakimu na wanaofanana na hao.

Umri: Miaka 18-24

Rangi: Yoyote inakubalika

Height: 150cm and above.

Umbo: Katinakati, asiwe mnene sana wala mwembamba sana.

Kwa ujumla wake: Awe mwenye tabia njema zinazokubalika na jamii hususani ya kiislamu na kitanzania pia, na zinazoridhiwa na Mwenyezi Mungu aliyeumba Mbingu na Ardhi na vilivyomo.

Nafikiri nimeeleweka, mwenye sifa tajwa hapo juu, au ndugu au rafiki au jamaa, na mwenye kutaka kufaham zaidi anaweza KUNI-PM.
 
Hebu ambatanisha CV yako
includes the following:-
1. Kabila
2. Elimu
3. Umri
4. Ujuzi
5. Taarifa za benki
6. Mali unazomiliki...
7. Muonekano wako (mrefu / mfupi
8. Rangi yako
9. Uzito wako
10. ...................
Natania mkuu... Ngoja waje!
 
Nakuombea dua mkuu umpate kwani watu kama ww ni adim sana humu ndani
 
Nyongeza ya sifa tajwa hapo juu:
1. Awe na Elimu ya dini angalau kidogo lakini awe tayari kujiendeleza ktk elimu ya dini.
 
Ndugu zangu naendelea kupokea PM zenu, nafasi bado iko wazi.
Shukrani kwa wale walioni-PM, nina appreciate michango yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…