Asinizidi umri tuTaja vigezo chap nione kama nafit nizame pm kabla watu hawajaja humu
naahidi nitampenda sana
Nitamuheshimu sana
Nitamtunza pia
Huu uzi umeanzishwa na kichwa cha chini,kikiamka kichwa cha juu ataukimbia tu uzi wake.Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe......
Anyway, uko wapi
Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umriAsinizidi umri tu
Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe......
Anyway, uko wapi
PoleDah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri
Huna haja ya mume wewe,yule mwana ccm lia lia ameshakukapata,huwezi kufurukuta.Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri
udugu jamani😂😂Ukifikia hatua ya kuhitaji Toleo jipya, nistue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]