Simple tu
1....inabidi ujue kilichomfanya ajichukie au asipende kuwa na watu ili uweze kuavoid vitu hivo uwapo karibu yake...
2...usioneshe kumsikitikia au kumuonea huruma maana ataona unataka kuwa nae karibu umsanifu au hauna nia ya kweli.
3. Tafuta kujua anapenda nini ili uwezo kumletea au kufanya mbele yake...hii itasaidia kuvuta attention yake na kukuangalia positive way....
4... Ongea maneno ya hekima na umaanishe mkuu katika kugusia hicho kitu.
5 To a mfano hai inayokaribiana na halo ya huyo mtu hii itafanya kuvutika kwa kujua yeye ni mhanga kama wew
6...kuwa mcheshi,penda kusikiliza pia onesha kuwa tayari kutoa msaada itamfanya awe karibu nawe.....