M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 May 29, 2022 #1 Wadau salaama! Nahitaji huduma ya mwanasheria(advocate) kwaajili ya kuthibitisha(certify) vyeti vyangu na baadhi ya documents. Awe maeneo ya Bunju au karibu na huko. Nicheck inbox kama una any leads.
Wadau salaama! Nahitaji huduma ya mwanasheria(advocate) kwaajili ya kuthibitisha(certify) vyeti vyangu na baadhi ya documents. Awe maeneo ya Bunju au karibu na huko. Nicheck inbox kama una any leads.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 29, 2022 #2 Kuthibitisha hakuna kudhibitisha kwenye Kiswahili.
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 May 29, 2022 #3 Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu
Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu
M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 May 29, 2022 Thread starter #4 Lihove2 said: Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu Click to expand... Ni sawa, nahitaji wa maeneo ya karibu na nilipo(Bunju/Tegeta) kwani ni huduma endelevu. Si unajua nauli sasa ni mtihani kwa sasa.
Lihove2 said: Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu Click to expand... Ni sawa, nahitaji wa maeneo ya karibu na nilipo(Bunju/Tegeta) kwani ni huduma endelevu. Si unajua nauli sasa ni mtihani kwa sasa.
M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 May 29, 2022 Thread starter #5 Ulongupanjala said: Kuthibitisha hakuna kudhibitisha kwenye Kiswahili. Click to expand... Neno sahihi la certification au to certify ni nini?
Ulongupanjala said: Kuthibitisha hakuna kudhibitisha kwenye Kiswahili. Click to expand... Neno sahihi la certification au to certify ni nini?
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 29, 2022 #6 kulwa1981 said: Neno sahihi la certification au to certify ni nini? Click to expand... Kuthibitisha
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 29, 2022 #7 Mleta mada hapo jirani yako hakuna mahakama hata ya mwanzo. Beba pesa kidogo watakusaidia.