Habari wanajamvi, ni matumaini yangu kwamba nyie ni wazima wa afya. Ninauhitaji wa haraka sana wa mwanasheria kutoka UDSM, kama upo huku jamvini tafadhali ni PM contact zako nitakutafata mara tu nitakapoziona, kama utakuwa dar ingekuwa vizuri zaidi na km ww ni mwanafunzi basi uwe wa mwaka wa 3 au zaidi from UDSM.