Nahitaji Mwanasheria wa Kuniandikia Notarized Copy

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
"Dear Mr. zacharia Tabani,

If you don't have another ID document you can send a Notarized Copy/Translation of the already submitted one.

Please make sure that the Notarized Copy/Translation you send contains the Seal, Signature and Stamp of the Notary Office/Lawyer that made the document.""




Huo ni Ujumbe niliopatiwa na kampuni fulani baada ya kujaribu ku verify Account yangu kwa kutumia kitambulisho kimoja na mpiga kura sasa wanahitaji Notarized copy ya hicho kitambulisho nilichotuma kama kuna mwanasheria hapa anaweza nifanyia hiyo kazi kazi kwa kufuata maagizo niliyopewa tafadhali tuwasiliane kupitia 0746898139
 
Ñdio, Tazama maelezo niliotumiwa kwenye thread yangu
Nimeyaona na kuyaelewa, mimi nipo Dar kwa urahisi zaidi Tafuta wakili huko huko mwanza. 0757958667 Mtafute huyu ni wakili mwenzangu yuko mwanza anaitwa swalehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…