Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

Nadhani hii email account
PHP:
matyshirima@gmali.com
imeisha kuwa overloaded, Kila nikijaribu kutuma maombi kwa niaba ya rafiki yangu Fidel naona zanirudia.

......he!he!heee....daah huyu kijana namtafuta sana kwaajili ya hii issue naona mama yupo serious hapa.....though email zinabaunsi beki! mchungaji ebu piga neno.....!
 
Kumbe wewe ndio mshenga wa Fidel!!!!
 
Najaribu kukeme lakini bado! Nguvu ya shetwani ni kubwa. Ila aweke na namba ya simu ili niongee naye kwa niaba ya Fidel80
 
Simu mtandao utakata, maana shetani ana nguvu ya ajabu. Ukishindwa tutaarifu tumkemee pamoja!
 
Ila nimeshauri Fidel kwanza ampime kila kitu na asijaribu ule mchezo wake! Arudie tena kipimo kikubwa baada ya miezi mitatu. Kama itakuwa poa basi ajiexpress kurudi nyuma.
 
Nadhani hii email account
PHP:
matyshirima@gmali.com
imeisha kuwa overloaded, Kila nikijaribu kutuma maombi kwa niaba ya rafiki yangu Fidel naona zanirudia.

Mchungaji mbona unausemea moyo wa Fidel :becky::becky::becky::becky:
 
Bah!!!
 
.....Kudadadeki hapa bibie katuingiza town aiseeeee.......ebuu chunguzeni hiyo email vizuri.....! hakuna GMALI but gmail bana.....Mchungaji SITUKA hapo.....! vinginevyo bibie aombe msamaha keyboard ilitikisika sana wakati anaweka hiyo email.....!
 
Kumbe wewe ndio mshenga wa Fidel!!!!

Huyu mpwa wangu siwezi fanya lolote bila kumshirikisha

......he!he!heee....daah huyu kijana namtafuta sana kwaajili ya hii issue naona mama yupo serious hapa.....though email zinabaunsi beki! mchungaji ebu piga neno.....!

Hata mm nipo serious hommie hapa mm akikubali tu nawapa miezi 6 mwanze kuniletea michango ya harusi

Najaribu kukeme lakini bado! Nguvu ya shetwani ni kubwa. Ila aweke na namba ya simu ili niongee naye kwa niaba ya Fidel80

Akiweka namba ya simu atarahisisha mawasiliano na mm nimejaribu zinagongwa mwamba

Mchungaji mbona unausemea moyo wa Fidel :becky::becky::becky::becky:

Jamani mchungaji ni mpwa wangu hakiharibiki kitu hapo..
 
.....homu boi tupe maendeleo.......bana! umegeuza hiyo ...GMALI to gmail ikagoma pia?
 
Kha! Mshiki imekuwaje tena?:confused2:
 
Kaachika homu boi kwa sababu ya libeneke....lilikuwa sio mchezo.....mama kasepa!:becky:

Hahahahaha homu boi usitake kunikumbusha zama zile jamani maana ilifikia kipindi nikawa nakimbiwa....
 
Nadhani hii email account
PHP:
matyshirima@gmali.com
imeisha kuwa overloaded, Kila nikijaribu kutuma maombi kwa niaba ya rafiki yangu Fidel naona zanirudia.
watu kumbe mnafanya kweli :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
kama ukiwa na nia mbaya e-mail inakataa ila kama huko serious inaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…