Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.
...baada ya kucheka, wafuate wenzio wako Ngara wanendeleza ahadi tu huko...Ha ha haaa clearing mie nilikuwa natamani kucheka na nimecheka kweli kweli mpaka mbavu zinaniuma hapa nilipo