Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Duuh,ina maana wewe hanithi au?Sasa mbona umefunga pm.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umenichekesha sanaUnataka umfanyie nn usikute unalo linjemba huko mumshuhulikie hanisi wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo huyo huyo mwanaume hanisi nae anahitaji mwanaume shupavu.. [emoji3] [emoji3] unasubiri meli airportNimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Mkuu kumbe ww nawe ni..?
Mkuu God is watching herWakati huo huyo huyo mwanaume hanisi nae anahitaji mwanaume shupavu.. [emoji3] [emoji3] unasubiri meli airport
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kiongozi lakini ndio hali halisi ilivyo sasaMkuu God is watching her