Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

wpmashii

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
13
Reaction score
14
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
 
Watakuja subiri, kila la kheri katika kumtafuta mwenza wako wa maisha.
 
Neema kwa wanajf (kiumeni).
Mwaka huu wa neema kwetu wanakiumeni jamani.

Asante Sizonje.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Kwa hayo masharti utaendelea kutafuta milele. Ni vyema ukajichongea mgomba uuweke ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo srias nije pm??? maana kuna madume humu yanamtindo huuu
 
Tunakaribia kuwa kama.nje ...watu wataanza toa matangazo magazetini au dating site

Seems ukizfungua dating company Tanzania wateja wapo
 
duuuh me naomba nikuulize kodogo
upo serious kwel or unatania??
ww ni KE na umesomea ufund magar?

sent from aifoni seveni plasi
 
Unaishi wapi
 
Tunakaribia kuwa kama.nje ...watu wataanza toa matangazo magazetini au dating site

Seems ukizfungua dating company Tanzania wateja wapo
Ndio tunapoelekea mkuu, Ingawa kupata mke/mchumba magazetini au dating site huwa ni bahati nasibu kama BIKO, fursa hiyo watu bado hawajaitambua vizuri.
 
weka namna ya simu
 
weka namna ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…