ahaaa hujaribiwi dia?naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Naomba lift hata mi naenda.Vigezo ulivyo toa naweza nikaviigiza kwenye uchumba nikisha kuoa nachange utafanyaje.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkuu ana matatizo,ukiona Mtu anajihami lazima uwe na mashaka nayeKILA LA HERI DADA" Ila naomba kukuuliza, ,Kwanini umeweka sharti la miezi sita tu?? Kumbuka, mwanaume anahitaji kujipanga, Kwa mambo ya Mahari-harusi - namengineyo. Sasa miezi sita inatosha??
Pia " utu ainishie" unaposema wewe ni mke, na sio mtumishi wake,, Unamaanisha nini? Wasiwasi wangu, ni usije kugoma kuniandalia maji ya kuoga,, ugome kunifulia,, unipangie zamu ya kupika. Nk
ASIWE MLALAMISHI " je kama atakuonya,, kuelekeza jambo,, kukurekebisha" mfano, umechelewa kurudi, Pia itakua nao ni ulalamishi?????
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] tuwe tu marafiki
Ushauri mzuri mkuuUna 32 na umefika hiyo 32 kutokana jeuri yako ya kutaka haki sawa, hakuna haki sawa baina ya mke na mume na kama Mungu angetaka haki sawa iwepo basi asingetofautisha jinsia zetu.
Kinachoweza kuwepo ni kusaidiana kazi na majukumu ila usiite haki sawa maana iko siku utamwambia mumeo aende jikoni ilihali yeye kupika ni willing yake, iko siku utamwambia ainuke akaoshe vyombo kwakua ni zamu yake sasa unadhani atakubali? Asipokubali ujue haki sawa haipo tena.
Nakusihi kama huko darasani kwenu mwalimu wako alikwambia lazima upate haki sawa kwa mumeo jua utazeeka ukiwa kwenu na utakua single mother.
Hatuombei mabaya ila badilisha kugha na misimamo yako, utaona mchumba anapatikana mapema tu.
Naongea from experience nimeoa nafahamu, mke wangu ni msomi wa shahada ya kwanza, kama angeanza kama wewe basi ningeshamtema long tu, nasaidia kazi za ndani ninapokua free na ninapokua willing
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Sure