Nahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu

Nahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu

siyumwe

Senior Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
152
Reaction score
134
Habari za mda huu wana JF, natumai mu wazima mnaendelea kuijenga Tanzania ya viwanda.

Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi, ni biashara ambayo nina uzoefu nayo kwa mwaka 1 na miezi 3, tatizo kubwa linalonikumba ninapata oda nyingi tofauti na mtaji hivyo nashindwa jinsi ya kuzifanyia kazi kwa muda muafaka.

Kama kuna mtu atakua yupo tayari kuwekeza kiasi kisichopungua milioni moja na tukatengeneza faida ya laki 2 kwa wiki nitashukuru sana kuhusu jinsi gani tugawane faida na mambo mengine.

Call au whatsup 0625888090 nipo Tegeta kwa Ndevu‎.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanini usitumie njia ya kuomba advance kwa mteja ili uitumie kutengeneza bidhaa then ukimaliza ndio ana malizia pesa. Hii itakusaidia uhitaji wa mwekezaji na utaweza kukuza mtaji wako
 
Back
Top Bottom