Kama kuna mwanajf mwenye kunijuza maeneo zilipo tunda la parachichi aina ya hass kwa Moshi au Arusha anipe info's anijuze hapa au aje PM kama yuko nazo,
siitaji parachichi kuchukua maeneo ya mbeya rungwe, njombe, au iringa maana kipindi hiki hizo parachichi zinaweza kuwa adimu sababu ya mavuno yake kuwa chini msimu huu kwahiyo naepuka cost za kusafirisha kutoka huko shambani mpaka sokoni vile nitanunua kwa bei ya juu na kuuza kawaida,
nimeomba hivo maana soko lake lipo nearby arusha, kilimakiaro....