Nahitaji Mwenza kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa

Nahitaji Mwenza kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habari zenu ndugu zangu!!?

Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa.

Natamani Sana nipate mtu sahihi ambaye tutapenda tutakuwa marafiki she is romantic! daaah jamaniiii I wish Wadada mnielewe Kwa kweliii. PM yangu ipo wazi karibuni sana.

Mwenza awe na age kuanzia 23 na kuendelea
 
Mmmh angalia usipate matapeli
 
Nakushauri tafuta pesa kwanza ukiwa na pesa huna haja ya kutafuta mwenza huwa wanajileta wenyewe automatically.
Otherwise piga nyeto maisha yasogee.
 
Relax,utapata...ukiwa desperate sana utapata bora mke na kutengeneza matatizo zaidi.(Usitafute wa kuziba upweke wako)
 
Back
Top Bottom